Tamisemi yatakiwa kutenga fedha za kutosha kugharamia uchaguzi
Mbunge wa Nanyamba (CCM), Abdallah Chikota, ametaka ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) kutenga fedha za kutosha kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika Oktoba mwaka huu ili kuepuka dosari.
from Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwanzo http://bit.ly/2Z6MdLW
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON
from Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwanzo http://bit.ly/2Z6MdLW
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON