MUUNGANO WA TANGANYIKA - ZANZIBAR 1964: CIA ilivyoanza kuingilia siasa za Zanzibar -3
Katika mahojiano yaliyonukuliwa na kitabu cha Mwalimu: The Influence of Nyerere © 1995, balozi mdogo wa Marekani visiwani Zanzibar, Frank Carlucci alisema kile kilichokuwa akilini mwake, kuwa Marekani pia ilitamani Zanzibar na Tanganyika ziungane, lakini haikujua ifanyaje.
from Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwanzo http://bit.ly/2UcdyIP
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON
from Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwanzo http://bit.ly/2UcdyIP
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON