Sekta ya mifugo inahitaji mipango kuongeza mchango pato la Taifa

Miaka ya nyuma kidogo, Tanzania iliamini katika sera ya kilimo na kujitegemea. Zilikuwa zama za Azimio la Arusha lililokuwa linahamasisha na kuutetea ujamaa.

from Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwanzo http://bit.ly/2Z57fum
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON