Sugu amtumia ujumbe wa Mei Mosi Rais Magufuli

Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ amemshauri Rais John Magufuli atakapokwenda Mbeya kwa ajili ya maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani kuongeza mishahara kwa watumishi wa umma kwa sababu miaka yake minne hajawahi kuongeza hata kidogo.

from Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwanzo http://bit.ly/2UdFR9E
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON