VIDEO: Asimulia alivyotambua kuwa na homa ya dengue

Homa na uchovu wa siku tatu mfululizo havikumfanya Mtaalamu wa Lishe kutoka Hospitali ya Aga Khan, Luiza Shem kuhisi kama angekuwa na virusi vya homa ya dengue.

from Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwanzo http://bit.ly/2UcLVPN
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON