Wateja wengi Benki ya Wananchi Mbinga hawajarudishiwa fedha zao
Wakati Rais John Magufuli akiagiza kutafutwa kwa watu waliochangia kufilisika kwa iliyokuwa Benki ya Wananchi Mbinga (MCB), mkurugenzi mtendaji wa Bodi ya Bima ya Amana (DIB), Richard Malisa amesema wateja wengi bado hawajaenda kuchukua fedha zao.
from Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwanzo http://bit.ly/2Z6DUj5
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON
from Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwanzo http://bit.ly/2Z6DUj5
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON