Waziri Mbarawa atoa sababu za maji kuadimika Njombe

Waziri wa Maji, Profesa Makame Mbarawa amesema uhaba wa maji katika mji wa Makambako mkoani Njombe unatokana na ongezeko kubwa la watu.

from Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwanzo http://bit.ly/2UcfmBq
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON