Dirisha la Uhamisho: Wajue wachezaji wa soka waliohamia kutoka klabu moja hadi nyengine Ulaya

Huku msimu mpya wa kandanda barani Ulaya ukitarajiwa kuanza hivi karibuni, Klabu zimeanza kuimarisha vikosi vyao tayari kwa michuano hiyo.

Chazo BBC: BBC News Swahili - Michezo
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON