HARUNA NIYONZIMA ALIVYOAGWA LEO YANGA SC
KLABU ya Yanga imeutumia mchezo wake wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Ihefu SC kumuaga kiungo wake wa kimataifa wa Rwanda, Haruna Niyonzima.
Chanzo: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON