Wajuwe wachezaji wanaopigiwa chapuo kushinda tuzo ya Ballon d'Or 2021

Messi anashikilia rekodi ya kutwaa tuzo hiyo mara 6, na mafanikio yake kwenye Copa America yanampa alama za juu kutwaa tena tuzo hiyo mwaka huu.

Chazo BBC: BBC News Swahili - Michezo
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON