AL HILAL YAJA NCHINI KUCHEZA NA AZAM, NAMUNGO NA SIMBA SC


KLABU ya Al Hilal ya Sudan inatarajiwa kuwasili nchini kesho kuweka kambi ya kujiandaa na michezo ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
Ikiwa nchini, Al Hilal itacheza mechi tatu za kirafiki ikiwemo dhidi ya wenyeji wao, Simba SC Februari 5, mwaka huu.
Kabla ya hapo, Hilal itacheza na Azam FC na Namungo FC katika mechi nyingine mbili za kirafiki.


Chanzo: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON