MUSONDA NA AZIZ KI WAFUNGA YANGA YASHINDA 2-0 KIGAMBONI
TIMU ya Yanga imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Transit Camp katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa Avic Town, Somangira, Kigamboni nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.
Mabao ya Yanga leo yamefungwa na mshambuliaji mpya, Mzambia, Kennedy Musonda na kiungo mshambuliaji wa Kimataifa wa Burkina Faso, Stephane Aziz Ki.
Chanzo: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON
