NAMUNGO FC YATOA SARE 1-1 NA AL HILAL CHAMAZI


TIMU ya Namungo FC leo imetoka sare ya kufungana bao 1-1 na Al Hilal ya Sudan katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa Azam Complex, Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.
Namungo ilitangulia kwa bao la Shiza Ramadhani Kichuya dakika ya 37, kabla ya Yesir Awadh kuisawazishia Al Hilal dakika ya 90 na ushei. 


Chanzo: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON