DK. KAPINGA ATAJA ATHARI MCHEZAJI KUCHEZA HAYUKO FITI

ALIYEWAHI kuwa Daktari wa Simba SC, Dk. Cossmas Kapinga amesema ni hatari mno kwa mchezaji kuanza kucheza mechi za mashindano akiwa hajapata mazoezi ya kutosha ya kuuandaa mwili wake kabla ya msimu.



Chanzo: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON