MWENYEKITI WA ZAMANI SIMBA SC, HAZALI AFARIKI DUNIA LEO TMJ


ALIYEWAHI kuwa Mwenyekiti wa Simba was SC, Abdul Yussuf Hazali amefariki dunia mchana huu katika Hospitali ya TMJ, Mikocheni Jijini Dar es Salaam alipokuwa amelazwa kwa matibabu.
Kwa mujibu wa kaka wa marehemu, Waziri Yussuf Hazali msiba upo nyumbani kwake, Tabata Magengeni Jijini Dar es Salaam, ingawa mazishi yatafanyika kwao, Lushoto mkoani Tanga.


Chanzo: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON