NI SENEGAL MABINGWA CHAN 2023
TIMU ya Senegal imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Fainali za Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN) 2023 baada ya ushindi wa penalti 5-4 dhidi ya wenyeji, Algeria kufuatia sare ya 0-0 ndani ya dakika 120 usiku wa jana Uwanja wa Nelson Mandela mjini Baraki.
Chanzo: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON
