YANGA YAWAJIBU SPORTPESA KIKUBWA UDHAMINI WA HAIER


KLABU ya Yanga imesistiza itaendelea na udhamini wa Kampuni ya Haier katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika kwa sababu wadhamini wao wakuu, SportPesa hawaruhusiwi kwenye michuano hiyo.







Chanzo: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON