AUGUSTINE OKRAH NI MCHEZAJI MPYAWA YANGA SC


KLABU ya Yanga imemtambulisha winga Mghana, Augustine Okrah (30) kama mchezaji wake mpya, miezi sita tu tangu aachane na watani wao, Simba SC.
Okrah aliyetambulishwa usiku wa jana wakati wa mchezo wa Kombe la Mapinduzi Uwanja wa New Amaan Complex, ZanzĂ­bar anakuwa mchezaji mpya wa pili dirisha hili dogo baada ya kiungo Mzanzibari, Shekhan Khamis.


Chanzo: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON