BARA YATUPWA NJE KWA MATUTA NA KENYA CECAFA U18


TANZANIA Bara imetupwa nje ya michuano ya vijana chini ya umri wa miaka 18 Afrika Mashariki na Kati (CECAFA U18) baada ya kufungwa na wenyeji, Kenya kwa penalti 4-3 kufuatia sare ya 0-0 Uwanja wa Jomo Kenyatta katika mchezo wa Nusu Fainali ya
Kenya sasa itakutana na Uganda katika Fainali ambayo imeitoa Rwanda kuwa kuichapa 1-0 hapo hapo Jomo Kenyatta.


Chanzo: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON