KIPA MGHANA WA AZAM APELEKWA AFRIKA KUSINI KWA MATIBABU
KIPA Mghana wa Azam FC, Iddrisu Abdulai ameondoka nchini usiku wa kuamkia leo Alhamisi kuelekea Afrika Kusini, kwa ajili ya kufanyiwa matibabu ya bega lake la mkono wa kushoto katika Hospitali ya Vincent Pallotti, iliyopo jijini Cape Town.
Chanzo: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON
