KLABU ya Namungo FC imemtambulisha Mkongo, Mwinyi Zahera kuwa kocha wake mpya Mkuu kuelekea sehemu iliyobaki ya msimu wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara.
Chanzo: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON