TFF YAUFUNGULIA UWANJA WA ALLY HASSAN MWINYI
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limeufungulia Uwanja wa Ally Hassan Mwinyi mjini Tabora unaotumiwa na Tabora United baada ya kufanyiwa marekebisho yaliyohjitajika,
Ally Hassan Mwinyi utaanza kutumika baada ya mchezo baina ya Tabora United na Yanga Jumamosi ambao utachezwa Uwanja wa Jamhuri, Dodoma, kwani kwa mujibu wa kanuni ni siku saba Uwanja kuanza kutumika baada ya kufunguliwa.
Chanzo: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON

