WANACHAMA SIMBA WAPEWA HADI DESEMBA 31 MAONI YA KATIBA
UONGOZI wa Simba umewahamasisha wanachama wake kuwa wamemaliza kutoa maoni yao juu ya marekebisho ya Katiba ya klabu hiyo hadi kufika Desemba 31, mwaka huu ili mchakato huo uweze kukamilishwa.
Chanzo: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON

