Alichokisema Hasunga kuhusu ununuzi wa tumbaku

Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga ameitaka Bodi ya Tumbaku Tanzania  kuhakikisha tumbaku yote itakayovunwa msimu huu inanunuliwa bila visingizio

from Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwanzo http://bit.ly/2QV6crG
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON