Kakobe asita kuzungumzia sakata la hati yake ya kusafiria

Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), Zachary Kakobe amekataa kuzungumzia suala la kuzuiliwa kwa hati yake ya kusafiria , akisema jambo hilo si kitu kwa sasa.

from Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwanzo http://bit.ly/2FCjyYF
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON