DC Sabaya afikishwa kwa RC Mghwira

Sakata la Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Hai, Yohana Sintoo na Mwenyekiti wa Halmashauri, Helga Mchomvu kufukuzwa na mkuu wa wilaya hiyo, Lengai Ole Sabaya kwenye ukumbi wa halmashauri, limefikishwa kwa mkuu wa mkoa huo, Anna Mghwira.

from Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwanzo http://bit.ly/2ARScd5
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON