Kigwangalla aishangaa TTB kutomtumia J.Lo kutangaza vivutio

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Hamis Kigwangalla amehoji sababu za Bodi ya Utalii (TTB) kutotumia sauti ya Jennifer Lopez aliposikika kuutaja Mlima Kilimanjaro kama mojawapo ya njia ya kutangaza kivutio hicho na kuionyesha dunia kuwa kipo Tanzania.

from Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwanzo http://bit.ly/2FBbB5N
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON