Ugonjwa wa homa ya mapafu waongoza kwa vifo 2018

Ugonjwa wa homa ya mapafu umetajwa kuongoza kwa asilimia 12.9 ya vifo kati ya magonjwa 10 yaliyochangia vifo mwaka 2018 ambapo watu 2,590 walifariki kwa ugonjwa huo.

from Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwanzo http://bit.ly/2FHUrmp
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON