KINDOKI APATWA NA PIGO YANGA


Kipa wa Yanga, Klaus Kindoki amepatwa msiba wa baba yake mzazi huko DRC Congo. 

Uongozi wa Yanga umetoa pole kwa kipa huyo juu ya tukio hilo zito la kumpoteza baba yake na Kindoki.

Taarifa zinasmea msiba utafanyikia kwao Congo DRC ambapo mazishi yatakuwa Jumapili ya wiki hii

Kindoki amepatwa na msiba huo akiwa Shinyanga ambapo Yanga inajiandaa na mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Mwadui FC utakaopigwa kwenye Uwanja wa CCM Kambarage, Shinyanga kesho.

from SALEH JEMBE http://bit.ly/2Ryf9MB
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON