Simu 1.6 milioni zilifungiwa na TCRA mwaka 2018

Simu za mkononi milioni 1.6 zilizobainika kutofikia viwango, kupotea na kuibiwa zilifungiwa huduma na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania hadi Desemba 2018

from Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwanzo http://bit.ly/2FK0BlS
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON