Mapato, matumizi yawaponza viongozi wa mtaa Handeni

Wananchi wa mtaa wa Tuliani kata ya Kwediyamba halmashauri ya mji Handeni mkoani Tanga, wamemtaka mtendaji wa kata hiyo kuondoka na viongozi wote wa mtaa huo kwa kushindwa kuwasomea taarifa za mapato na matumizi kwa zaidi ya mwaka mmoja.

from Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwanzo http://bit.ly/2SYnvcV
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON