Mfumo wa kisasa wa kusimamia uwazi wa mawasiliano waipatia Serikali mabilioni

Dar es Salaam. Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania (TCRA), James Kilaba amesema Sh93.66 bilioni ziliwasilishwa serikalini tangu mfumo wa kusimamia uwazi katika mawasiliano ya simu (TTMS) uanze kufanya kazi Oktoba 2013 hadi Septemba 2018.

from Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwanzo http://bit.ly/2FK173i
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON