NEC yaruhusu vitambulisho mbadala uchaguzi mdogo

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetoa ruhusa ya matumizi ya vitambulisho mbadala kwenye uchaguzi mdogo wa kata tatu, uliopangwa kufanyika kesho Januari 19, 2019.

from Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwanzo http://bit.ly/2FCudSS
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON