Sababu za Dk Kigwangalla kuvunja bodi TTB hizi hapa

Waziri wa Maliasi na Utalii, Dk Hamis Kigwangalla leo Ijumaa amevunja bodi ya wakurugenzi TTB kwa madai ya kushindwa kutekeleza maelekezo yake yenye lengo la kutangaza vivutio vya utalii.

from Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwanzo http://bit.ly/2FK0PcI
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON