Sugu atoa neno, mwili wa Frank kukaa miezi saba na nusu mochwari
Wakati mwili wa marehemu Frank Kapange (21) ukiendelea kuhifadhiwa mochwari ya Hospitali ya Rufaa, Kanda ya Mbeya kwa siku 230, kutokana na mvutano wa kisheria baina ya familia na vyombo vya dola, Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ameiomba Mahakama kuharakisha shauri hilo.
from Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwanzo http://bit.ly/2AUZFrQ
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON
from Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwanzo http://bit.ly/2AUZFrQ
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON