Hukumu kigogo Vodacom, wenzake hii hapa

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu, Mkurungenzi Mtendaji wa Kampuni ya  Mawasiliano ya simu ya mkononi  nchini Vodacom, Hisham Hendi na wenzake nane, kulipa faini na fidia ya zaidi ya Sh6 bilioni baada ya kukiri mashtaka yao.

from Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwanzo http://bit.ly/2Z73cO8
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON