Magufuli atoa agizo kwa Waziri Mbarawa

Rais John Magufuli amemuagiza Waziri wa Maji, Profesa Makame Mbarawa kushughulikia mradi wa maji wa Manga uliopo Makambako mkoani Njombe.

from Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwanzo http://bit.ly/2UfLCnf
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON