Serikali yashauriwa kufungua milango kwa wawekezaji

Ili Watanzania waweze kupata maendeleo ya kiuchumi, Serikali haina budi kufungua milango kwa wawekezaji na kuruhusu ukuaji na ustawi wa biashara.

from Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwanzo http://bit.ly/2UdWzGa
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON