Wabunge wamshukia DC Chemba, wadai amegeuka trafiki

Mbunge wa Chemba (CCM), Juma Nkamia na Maftah Nachuma wa Mtwara Mjini (CUF) leo wamemshukia mkuu wa wilaya ya Chemba mkoani Dodoma, Simon Odunga kwa madai kuwa utendaji wake wa kazi si mzuri.

from Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwanzo http://bit.ly/2Z2kz2J
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON