SIR FERGUSON AHUDHURIA MAZISHI YA 'MR MANCHESTER CITY'
Kocha wa zamani wa Manchester United, Sir Alex Ferguson (kulia) akiwa kwenye msiba wa Rais wa zamani wa maisha wa Manchester City, Bernard Halford maarufu kama 'Mr Manchester City' aliyefariki dunia mwishoni mwa mwezi uliopita akiwa na umri wa miaka 77 na kuzikwa leo mjini huo. Halford ameitumikia Manchester City kwa miaka 47 kama Katibu Mkuu kuanzia 1972 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Chanzo: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON
