Tetesi za soka Ulaya Ijumaa 13.11.2020:

Arsenal, Chelsea na Tottenham zinamtaka beki wa Bayern Munich Jerome Boateng. Mjerumani huyo aliye na umri wa miaka, 32, huenda akaondoka kwa uhamisho wa bila malipo baada ya Bayern kuonesha ishara kwamba haina mpango wa kumpatia mkataba mpya. (Bild, via Sun)

Chazo BBC: BBC News Swahili - Michezo
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON