UKAGUZI WA MATUMIZI FEDHA ZA UMMA: Nondo ripoti ya CAG
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) jana alisoma ripoti yake ya ukaguzi ya mwaka unaoishia Juni 30, 2018, inayoonyesha asilimia 97 ya taasisi zimepata hati safi, lakini ufisadi, ukiukwaji wa taratibu za fedha na utendaji mbovu, bado umetamalaki.
from Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwanzo http://bit.ly/2Z6kuLs
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON
from Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwanzo http://bit.ly/2Z6kuLs
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON