Matokeo ya uchaguzi Tanzania 2020: Je, nani na nani kuingia Baraza jipya la Mawaziri wa Rais Magufuli?

Leo Ijumaa rais mteule wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli anatarajiwa kuhutubia Bunge la nchi hiyo katika jiji la Dodoma lililopo katikati ya taifa hilo la Afrika mashariki ambayo itazindua rasmi Bunge la 12.

Chazo BBC: BBC News Swahili - Michezo
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON