Rais Magufuli afanya uteuzi wa mawaziri wawili

 

Rais Dkt. John Magufuli amemteua Prof. Palamagamba Kabudi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kuanzia leo Novemba 13, 2020. Prof. Kabudi alikuwa akishika wadhifa huo katika baraza la mawaziri lililopita.






Chanzo MUUNGWANA BLOG
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON