Tetesi za soka kimataifa

 

Juventus iko tayari kubadilishana wachezaji ambapo mpango huo utamfanya winga wa Juvetus Christiano Ronaldo kujiunga na PSG huku mshambuliaji wa Brazil Neymar akielekea Juventus. (Tuttomercato - in Italian)

Hatahivyo , Ronaldo anafikiria kurudi katika klabu yake ya zamani Manchester United.

Babake Lionel Messi ambaye pia ni ajenti wake amekana ripoti kwamba mshambuliaji huyo ana mipango ya kujiunga na PSG kutoka Barcelona msimu. (Goal)

Manchester United inapanga kumuuza kiungo wa kati wa Ufaransa Paul Pogba 27 wakati wa dirisha la uhamisho la msimu ujao.. (Talksport)

Tottenham Hotspur imeanza mazungumzo na mshambuliaji wa Korea kusini Son Heung -min . Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 huenda akapatiwa kandarasi ya hadi 2026 yenye thamani ya £200,000 kwa week. (Guardian)

Kiungo wa kati wa Liverpool Georginio Wijnaldum, 30, bado hajatia saini kandarasi mpya . Mkataba wa raia huyo wa Uholanzi katika klabu hiyo unakamilika mwisho wa msimu huu. (Liverpool Echo)

Mkufunzi wa Barcelona Ronald Koeman amesema kwamba Wijnaldum huenda akahitajika katika siku zijazo na mabingwa hao wa Uhispania. (Sport)

Mkufunzi wa Barcelona Ronald Koeman amesema kwamba Wijnaldum huenda akahitajika katika siku zijazo na mabingwa hao wa Uhispania. (Sport)

Mkufunzi wa Barcelona Ronald Koeman amesema kwamba Wijnaldum huenda akahitajika katika siku zijazo na mabingwa hao wa Uhispania. (Sport)

Liverpool imehusishwa na uhamisho wa beki wa Austria David Alaba lakini Bayern Munich haitamuuza mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 , mwezi Januari , licha ya kabdarasi yake kukamilika msimu huu. (Bild - in German)

Beki wa Burnley James Tarkowski anasema kwamba ofa ya kandarasi mpya sio nzuri ya haja . Mchezaji huyo wa England , mwenye umri wa miaka 27 anasema kwamba hana hamu ya kuweka kandarasi mpya na Clarets. (Telegraph - subscription required)

Arsenal ina hamu ya kumsajili beki wa kati wa klabu ya RB Leipzig na Ufaransa Ibrahima Konate, 21, na kiungo wa kati wa Ufaransa Christopher Nkunku, 22. (Bild - in German)

Arsenal ina hamu ya kumsajili beki wa kati wa klabu ya RB Leipzig na Ufaransa Ibrahima Konate

Arsenal ina hamu ya kumsajili beki wa kati wa klabu ya RB Leipzig na Ufaransa Ibrahima Konate

Athletic Bilbao inafikiria kumsajii aliyekuwa mkufunzi wa Tottenham Muaricio Pochettino kama mkufunzi wao. (Marca - in Spanish)

Crystal Palace na Aston Villa zote zina hamu kumsajili winga wa Benfica na Portugal Fabio Baptista, 19. (Calciomercato - in Italian)



Chanzo MUUNGWANA BLOG
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON