Umoja wa Mataifa wazungumzia kukamatwa wapinzani, Serikali yajibu
Kamishna wa Shirika la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa, Michelle Bachelet ameeleza kusikitishwa na taarifa za kukamatwa kwa viongozi wa vyama vya upinzani na wanachama wao nchini, baada ya kumalizika kwa Uchaguzi Mkuu, akiitaka Serikali kuruhusu watu kuwa huru kueleza malalamiko yao.
from Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwanzo https://ift.tt/3ePj2VH
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON
from Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwanzo https://ift.tt/3ePj2VH
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON