WACHEZAJI WA TAIFA STARS WAPIMWA CORONA KABLA YA KUIVAA TUNISIA LEO KUFUZU AFCON

 

Kiungo mshambuliaji wa Tanzania, Simon Happygod Msuva akipimwa kama ana virusi vya corona vinavyosababisha ugonjwa wa COVID19 kuelekea mechi ya Kundi J kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2021 dhidi ya wenyeji, Tunisia leo kuanzia Saa 4:00 usiku Uwanja wa Hamadi Agrebi Olimpiki mjini Rades

Kipa Metacha Mnata wa Tanzania akipimwa COVID19 kuelekea mechi ya Kundi J kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2021 dhidi ya wenyeji, Tunisia leo 

Beki Erasto Nyoni akipimwa COVID19 kuelekea mechi ya Kundi J kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2021 dhidi ya wenyeji, Tunisia leo 

Chanzo: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON