Wavuvi wanne wapoteza maisha wakivua samaki

Wavuvi wanne wamepoteza maisha katika kipindi cha miezi miwili wakati wakifanya shughuli zao za uvuvi ndani ya Ziwa Victoria kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa.

from Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwanzo https://ift.tt/38CMiOJ
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON