AZAM FC YAWACHAPA PAMBA FC MABAO 3-0 KATIKA MCHEZO WA KIRAFIKI ULIOFANYIKA CHAMAZI LEO
AZAM FC imeibuka na ushindi wa 3-0 dhidi ya Pamba FC katika mchezo wa kirafiki leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam.
Mabao ya Azam FC inayofundishwa na kocha Mzambia, George Lwandamina yamefungwa na Wazimbabwe, Never Tigere dakika ya 25, Bruce Kangwa dakika ya 32 na Ayoub Lyanga dakika ya 56.
Mabao ya Azam FC inayofundishwa na kocha Mzambia, George Lwandamina yamefungwa na Wazimbabwe, Never Tigere dakika ya 25, Bruce Kangwa dakika ya 32 na Ayoub Lyanga dakika ya 56.
Chanzo: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON