KIKOSI CHA YANGA SC CHAWASILI KIGOMA MAPEMA TAYARI KWA FAINALI YA ASFC DHIDI YA MABINGWA WATETEZI, SIMBA SC JUMAPILI


 KIKOSI cha Yanga SC kimewasili salama Kigoma kwa ndege mapema leo kuelekea Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) dhidi ya mabingwa watetezi, Simba SC Jumapili Uwanja wa Lake Tanganyika. 


Mamia ya mashabiki walijitokeza kuupokea msafara huo Uwanja wa Ndege na kuipeleka kambini kwa maandamano yaliyoongozwa na pikipiki maarufu kama Boda Boda



Chanzo: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON